Askofu Dkt. Godfrey Malassy (kati) akikabidhiwa cheti cha utambuzi wa kituo chake binafsi cha Lugha ya Kiswahili na Utamaduni kilichoko huko Pretoria, Afrika Kusini. Anae kabidhi cheti ni Dkt. Sewangi Katibu Mtendaji BAKITA ofisi za Baraza hilo Kijitonyama Dar es salaam Jumatatu Juni 3, 2019. Kulia kwa Askofu ni ndugu Anorld Msofe, mchunguzi lugha na mratibu wa mafunzo ya Kiswahili kwa wageni BAKITA
Askofu Dkt. Godfrey Malassy (kati) baada ya kukabidhiwa cheti cha utambuzi wa kituo chake binafsi cha Lugha ya Kiswahili na Utamaduni kilichoko huko Pretoria, Afrika Kusini. Kulia ni Dkt. Sewangi Katibu Mtendaji BAKITA wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye ofisi za Baraza hilo Kijitonyama Dar es salaam Jumatatu Juni 3, 2019. Kushoto ni ndugu Anorld Msofe, mchunguzi lugha na mratibu wa mafunzo ya Kiswahili kwa wageni BAKITA
Askofu Dkt. Godfrey Malassy (kati) baada ya kukabidhiwa cheti cha utambuzi wa kituo chake binafsi cha Lugha ya Kiswahili na Utamaduni kilichoko huko Pretoria, Afrika Kusini. Kulia ni Dkt. Sewangi Katibu Mtendaji BAKITA wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye ofisi za Baraza hilo Kijitonyama Dar es salaam Jumatatu Juni 3, 2019. Kushoto ni ndugu Anorld Msofe, mchunguzi lugha na mratibu wa mafunzo ya Kiswahili kwa wageni BAKITA.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...