Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Mhandisi James Kilaba kitabu wakati Bodi na Menejimenti ya Mamlaka hiyo ilipotembelea Maktaba Mpya na ya Kisasa ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam inayotumia mfumo wa Kielektroniki kuhifadhi na kusoma Vitabu na Majarida mbalimbali jijini Dar es Salaam.
Bodi na Menejimenti ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) wakiangalia Mfumo unavyafanya kazi katika Maktaba Mpya na ya Kisasa ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam inayotumia mfumo wa Kielektroniki kuhifadhi na kusoma Vitabu na Majarida mbalimbali wakati walipofanya ziara katika Chuo hicho ambapo TCRA ilichangia kitabu vya Teknolojia ya Mawasiliano 800 katika mkataba hiyo.
Bodi na Menejimenti ya TCRA wakiwa katika ziara ya Chuo Jijini cha Dar es Salaam wakati walipofanya ziara ya kuangalia maktaba ya kisasa ya Chuo hicho.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Mhandisi James Kilaba akikabidhiwa vitabu vya Teknolojia ya Mawasiliano katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Picha ya Pamoja ya Bodi na Menejimenti ya TCRA na Watendaji wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam mara baada ya kumaliza ziara katika Chuo hicho jijini Dar es Salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...