Dereva Bodaboda akiwa amepakia abiria ambao ni Wanafunzi wa Sekondari  zaidi ya mmoja maharufu kama mtindo wa Mshikaki  huku wakiwa awajavaa kofia ngumu hali inayohatarisha maisha yao kwani sheria za Usalama barabrani inawataka abiria wote wa piki piki kuvaa kofia ngumu na kutopanda mshikaki.
 Mmoja wa Wakazi wa kigoma akiwa amepakia familia yake katika baiskeli huku amepakia mzigo kama alivyonaswa na mpiga picha wa blog ya jamii katika soko la Kakonko Mkoani Kigoma
 Wakulima wa Ndzi Mkoani Kigoma wakiwa wamepakia shehena kubw akatika baiskeli zao kwa ajili ya kwenda kutafuta Masoko kwenye soko la Kakonko kama walivyonaswa na mpiga picha wa Globu ya Jamii
Wakazi wa Mkoa wa Kigoma wakitoka Porini kukata kuni hali hii ya ukataji kuni kwa wingi katika mistu yetu unahatarisha uharibifu wa mazingira na kuaribika kwa vyanzo vya maji hivyo wanashauriwa watu ahawa kutumia nishati mabadala(PICHA ZOTE NA HUMPHREY SHAO)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...