Msanii wa Muziki wa Kughani kutoka Mpoto Theatre, Mrisho Mpoto akizungumza na wakazi wa Biharamulo juuu ya umuhimu wa kujenga vyoo bora kwa jamii hiyo hili iweze kuepukana na magonjwa mbalimbali ya mlipuko katika kampeni yake ya nyumba ni choo
 Msanii wa Muziki wa Kughani Mrisho Mpoto Akizungumza na Wazee wa Biharamulo  Mkoani Kagera wakati wa kampeni yake ya kuhamasisha ujenzi was vyoo Bora inayojulikana usichukulie poa nyumba no choo

 Mrisho Mpoto na Mkuu wa Wilaya ya Biharamulo wakiwa katika maandamano ya amani #Usichukuliepoanyumbanichoo
Msanii wa Muziki wa Asili Mrisho Mpoto akiwa ameketi na Wanafunzi wa Karagwe waliofika kugatilia kampeni za Nyumba ni choo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...