Naibu Waziri wa Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Juliana Shonza akisalimiana na wachezaji wa timu ya Miembeni kabla ya kuanza kwa mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la Masauni/Jazeera uliofanyika katika Viwanja vya Tumbaku, Visiwani Zanzibar.
Naibu Waziri wa Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Juliana Shonza akisalimiana na wachezaji wa timu ya Kundemba, kabla ya kuanza kwa mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la Masauni/Jazeera uliofanyika katika Viwanja vya Tumbaku, Visiwani Zanzibar.
Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza kabla ya kuanza mchezo wa Nusu Fainali wa Mashindano ya Masauni/Jazeera uliofanyika katika Viwanja vya Tumbaku, Visiwani Zanzibar. Kulia ni Naibu Waziri wa Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Juliana Shonza.
Naibu Waziri wa Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Juliana Shonza akizungumza kabla ya kuanza mchezo wa Nusu Fainali wa Mashindano ya Masauni/Jazeera uliofanyika katika Viwanja vya Tumbaku, Visiwani Zanzibar. Kushoto ni Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni, Mhandisi Hamad Masauni.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...