RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Balozi wa Uturuki Nchini Tanzania Mhe. Ali Davutaglu, alipofika Ikulu Zanzibar na Ujumbe wa Kampuni ya Okan kutoka Nchini Uturuki.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Balozi wa Uturuki Nchini Tanzania kushoto Mhe. Ali Davutaglu,Mwenyekiti wa Kampuni ya Okan, Bwa. Bekir Okan na Ugur Erkray, wakiwa katika mazungumzo hayo yaliofanyika Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na Mwenyekiti wa Kampuni ya Okan
ya Uturuki Bwa. Bekir Okan na Balozi wa Uturuki Nchini Tanzania Mhe.
Ali Davuttaglu, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika Ikulu
Zanzibar.(Picha na Ikulu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...