Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Spika wa Bunge la Misri, Mhe. Dkt. Ali Abdel Aal Sayyed (kulia) Ofisini kwake Bungeni Cairo nchini Misri.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akipokea zawadi kutoka mwenyeji wake Spika wa Bunge la Misri, Mhe.Dkt. Ali Angel Aal Sayyed Ofisini kwake Bungeni Cairo nchini Misri. Watatu kushoto ni Naibu Spika wa Bunge la Misri, Mhe. El Sayyed Mahmoud El Sharif
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kulia)  akiagana na mwenyeji wake Spika wa Bunge la Misri, Mhe. Dkt.Ali Aal Sayyed baada ya mazungumzo yaliyofanyika leo Ofisini kwake Bungeni Cairo nchini Misri 
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akisalimiana na Wabunge wa Bunge la Misri alipotembelea Bunge hilo leo Cairo nchini Misri katika ziara ziara maalum ya kikazi nchini humo. Katikati ni mwenyeji wake Spika wa Bunge la Misri, Mhe. Dkt. Ali Abdel Aal Sayyed

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...