MBUNGE wa Viti Maalum (CCM), Jacqueline Msongozi amewataka wahitimu wa mafunzo ya uhifadhi wa maliasili kwa jami kuwa mstari wa mbele katika kupambana na majangili pamoja na kulinda maliasili za Taifa licha ya changamoto wanazokutana nazo pindi wanapotekeleza majuku yao.
Wito huo ameutoa wakati wa kufunga mafunzo ya VGS katika Chuo cha mafunzo ya uhifadhi wa maliasili kwa jamii Likuyusekamaganga kilichopo Wilaya ya NAMTUMBO mkoani RUVUMA .
Home
HABARI
MICHUZI TV
WAHITIMU MAFUNZO YA UHIFADHI WA MALIASILI KWA JAMII WATAKIWA KUWA MSTARI WA MBELEKULINDA MALIASILI ZA NCHI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...