Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitupa udongo kwenye kaburi la Dkt. Badriya Abubakar Gurnah, mke wa Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Zanzibar, Abdallah Juma Mabodi yaliyofanyika kwenye Makaburi ya Upanga jijini Dar es salaam Juni 23, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waombolezaji wakiwa wamebeja mwili wa Dkt. Badriya Abubakar Gurnah, mke wa Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Abdallah Juma Mabodi katika mazishi yaliyofanyika kwenye Makaburi ya Upanga jijini Dar es salaam Juni 23, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na ndugu na jamaa wa marehemu Dkt. Badriya Abdallah Gurnah, mke wa Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Abdallah Juma Mabodi katika mazishi ya Daktari huyo yaliyofanyika kwenye makaburi ya Upanga jijini Dar es salaam, Juni 23, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...