Afisa wa Bunge Ndg. Omary Machunda
(Kulia) akimpa Elimu kuhusu Shughuli zinazofanywa na Mhimili wa Bunge
Askofu Mkuu wa Kanisa la Waadventista Wasabato Tanzania Askofu Mark
Malekana alipotembelea banda la Bunge katika Maonyesho ya 43 ya Sabasaba
Jijini Dar es Salaam hii leo. ( Picha na Ofisi ya Bunge)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...