Meneja Mawasiliano na Elimu kwa Umma,wa Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA),Gaudensia Simwanza (wapili kulia)akitoka maelezo ya kiudhibiti kwa Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile(Mb) leo alipo tembelea banda la Mamlaka hiyo katika maonesho ya 43 ya Kimataifa Sabasaba jijini Dar es Salaam.
Afisa Elimu kwa Umma wa Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA),James Ndege akitoa elimu kwa wananchi namna Mamlaka hiyo inavyo kiudhibiti leo walipo tembelea banda la Mamlaka hiyo katika maonesho ya 43 ya Kimataifa Sabasaba jijini Dar es Salaam.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...