Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikabidhiwa zawadi ya picha yake iliyochorwa na Mwalimu Elisha Simon wa Ruangwa (kulia) wakati alipozungumza na viongozi wa CCM na Jumuiya zake wa kata za wilaya ya Ruangwa, kwenye ukumbi wa Ofisi ya CCM ya wilaya ya Ruangwa, Julai 29, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wa CCM wa wilaya ya Ruangwa wakati alipowasili kwenye ukumbi wa CCM wa wilaya hiyo kuzungumza na viongozi wa CCM na Jumuiya zake wa kata za wilaya hiyo, Julai 29, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na viongozi wa CCM na Jumuiya zake wa Kata za wilaya ya Ruangwa kwenye ukumbi wa Ofisi ya CCM ya wilaya ya Ruangwa, Julai 29, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikabidhiwa zawadi ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli ambayo ni picha ya Rais iliyochorwa na Mwalimu Elisha Simon wa Ruangwa (kulia), wakati alipozungumza na viongozi wa CCM na Jumuiya zake wa kata za wilaya hiyo, kwenye ukumbi wa Ofisi ya CCM ya wilaya ya Ruangwa, Julai 29, 2019.
Viongozi wa CCM na Jumuiya zake wa kata za wilaya ya Ruangwa wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao kwenye ukumbi wa Ofisi ya CCM ya wilaya ya Ruangwa, Julai 29, 2019.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...