Mwenyekiti wa Bunge, Mhe. Mussa Azzan Zungu akizungumza kwa niaba ya
Mhe. Spika na Mwenyekiti wa Baraza la Ushauri la Bunge la Zhejiang
lilopo nchini China, Mhe. GE Huijun na Ujumbe wake Ofisi Ndogo za Bunge
Jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Baraza la Ushauri la Bunge la Zhejiang lilopo nchini
China, Mhe. GE Huijun akimuelezea jambo Mwenyekiti wa Bunge, Mhe. Mussa
Azzan Zungu wakati wa kikao katika Ofisi Ndogo za Bunge Jijini Dar es
Salaam.
Mwenyekiti wa Bunge, Mhe. Mussa Azzan Zungu (kulia) katika picha ya
pamoja na Mwenyekiti wa Baraza la Ushauri la Bunge la Zhejiang lilopo
nchini China, Mhe. GE Huijun na Ujumbe wake Ofisi Ndogo za Bunge Jijini
Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Bunge, Mhe. Mussa Azzan Zungu (kulia) katika picha ya
pamoja na Mwenyekiti wa Baraza la Ushauri la Bunge la Zhejiang lilopo
nchini China, Mhe. GE Huijun na Ujumbe wake Ofisi Ndogo za Bunge Jijini
Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Bunge, Mhe. Mussa Azzan Zungu ( wanne kutoka kulia) katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Baraza la Ushauri la Bunge la Zhejiang lilopo nchini China, Mhe. GE Huijun (wanne kutoka kushoto) wengine katika picha ni wasaadizi wa Viongozi hao. PICHA ZA BUNGE
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...