Afisa Mawasiliano wa Chuo Kikuu Mzumbe,Fatna Mfaligundi akitoa maelezo kwa Vijana wanaotaka kujiunga na Mafunzo ya elimu ya juu katika chuo Kikuu Mzumbe katika Banda la Maonyesbo ya Vyuo Vikuu yaliyoandaliwa na TCU Katika Viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar es Salaam.
 Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam wakisoma vipeperushi mbalimbali katika Banda la Chuo Cha Mzumbe wakati wa maonyesho ya Vyuo Vikuu Dar es Salaam.
Wanafunzi wanaoomba kudahiriwa katika Chuo Kikuu Mzumbe wakipatiwa huduma hiyo ndani ya Banda la maonyesho ya Vyuo Vikuu katika Viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...