Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akionyesha kadi ya ACT Wazalendo ya Bw. Damas Shaltiel (kushoto) ambaye ni Katibu wa Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe baada ya katibu huyo kukihama chama hicho na kujiunga na CCM baada ya Mheshimiwa Majaliwa kuhutubia Kongamano lililoandaliwa na Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) kwenye uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma, Julai 13, 2019.Kulia ni Mwenyekiti wa UWT, Gaudencia Kabaka. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi kadi ya CCM, Bw. Damas Shaltiel ambaye ni Katibu wa Mbunge wa Kigoma Mjini, Mhe. Zitto Kabwe aliyekihama Chama cha ACT Wazalendo na kujiunga na CCM baada ya Waziri Mkuu kuhutubia Kongamano lililoandaliwa na Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) kwenye uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma, Julai 13, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)





Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpokea Bw. Damas Shaltiel ambaye ni Katibu wa Mbunge wa Kigoma Mjini, Mhe. Zitto Kabwe aliyekihama Chama cha ACT Wazalendo na kujiunga na CCM baada ya Waziri Mkuu kuhutubia Kongamano lililoandaliwa na Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) kwenye uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma, Julai 13, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...