
Baadhi ya wananchi wakiwa
kwenye misururu mirefu wakipata huduma ya vyeti vya
kuzaliwa katika
banda la Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) leo katika maonesho ya 43 ya Kimataifa Sabasaba jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya wananchi kama wanavyo onekana pichani wakijaza fomu katika banda la Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) leo katika maonesho ya 43 ya Kimataifa Sabasaba jijini Dar es Salaam.(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)

Watumishi wa Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA), wakiwaelekeza wananchi namna ya kujaza fom za cheti cha kuzaliwa leo katika maonesho ya 43 ya Kimataifa Sabasaba jijini Dar es Salaam.



Waanachi mbalimbali wakionekana kujitokeza kununua bidhaaa zilizotengenezwa kwa mikono ya wajasiriamali kutoka ndani ya Tanzania leo katika maonesho ya 43 ya Kimataifa Sabasaba jijini Dar es Salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...