Meneja Uhusiano wa benki ya CRDB , Godwin Semunyu na Nuru Kilasa Afisa Uhusiano Mwandamizi Benki ya CRDB wakitoa maelezo kwa baadhi ya wateja waliotembelea katika banda la benki hiyo kwenye Maonesho ya 4 Wiki ya Viwanda kutoka Nchi wanachama wa Jumuiya ya SADC yanayoendelea katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam.
Meneja Uhusiano wa benki ya CRDB , Godwin Semunyu , Lucy Kimei Meneja wa Benki ya CRDB Diaspora na Nuru Kilasa Afisa Uhusiano Mwandamizi Benki ya CRDB wakitoa maelezo kwa baadhi ya wateja waliotembelea katika banda la benki hiyo kwenye Maonesho ya 4 ya Wiki ya Viwanda kutoka Nchi wanachama wa Jumuiya ya SADC, yanayoendelea katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam.




Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...