Waziri wa Kilimo, Japhet Hasunga akipokea mpango wa Bima ya mazao ambao utaanza kutumika kwa wakulima wa zao la Pamba kwa mkoa wa Simiyu na Kahawa katika Mkoa wa Kagera, kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Bima ya Taifa (NIC), Dkt. Elirehema Doriye, leo Agosti 3, 2019 wakati akiuzindua, katika maonyesho ya 26 ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi (Nane Nane 2019), yanayofanyika kwenye viwanja vya Nyakabindi, Bariadi Mkoani Simiyu. Wa pili kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Anthony Mtaka akishuhudia.
Waziri wa Kilimo, Japhet Hasunga (kushoto) akizindua rasmi mpango wa Bima ya mazao ambao utaanza kutumika kwa wakulima wa zao la Pamba kwa mkoa wa Simiyu na Kahawa katika Mkoa wa Kagera, leo Agosti 3, 2019 katika maonyesho ya 26 ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi (Nane Nane 2019), yanayofanyika kwenye viwanja vya Nyakabindi, Bariadi Mkoani Simiyu. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Bima ya Taifa (NIC), Dkt. Elirehema Doriye.
Waziri wa Kilimo, Japhet Hasunga akionyesha mpango wa Bima ya mazao ambao utaanza kutumika kwa wakulima wa zao la Pamba kwa mkoa wa Simiyu na Kahawa katika Mkoa wa Kagera, aliouzindua leo Agosti 3, 2019 katika maonyesho ya 26 ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi (Nane Nane 2019), yanayofanyika kwenye viwanja vya Nyakabindi, Bariadi Mkoani Simiyu. Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Anthony Mtaka na kushoto kwake ni Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Bima ya Taifa (NIC), Dkt. Elirehema Doriye.
Waziri wa Kilimo, Japhet Hasunga akizungumza baada ya kuzindua rasmi mpango wa Bima ya mazao ambao utaanza kutumika kwa wakulima wa zao la Pamba kwa mkoa wa Simiyu na Kahawa katika Mkoa wa Kagera, leo Agosti 3, 2019 katika maonyesho ya 26 ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi (Nane Nane 2019), yanayofanyika kwenye viwanja vya Nyakabindi, Bariadi Mkoani Simiyu.
Picha ya Pamoja.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...