Katibu wa Chama cha Wabunge cha Kupambana na Malaria na Magonjwa yaliyokuwa hayapewi Kipaumbele Tanzania (TAPAMA), Mhe. Dkt. Raphael Chegeni akizungumza na Wabunge kutoka Chama cha Wabunge cha Kupambana na Malaria na Magonjwa yaliyokuwa hayapewi Kipaumbele Tanzania (TAPAMA) na Chama cha Wabunge kutoka Uingereza na Ujerumani katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma. Dkt. Chegeni alimuwakilisha Spika Ndugai katika mazungumzo hayo
Katibu wa Chama cha Wabunge cha Kupambana na Malaria na Magonjwa yaliyokuwa hayapewi Kipaumbele Tanzania (TAPAMA) ambae alimuwakilisha Spika Ndugai, Mhe. Dkt. Raphael Chegeni (Kushoto) akiongozana na Kiongozi wa msafara wa Chama cha Wabunge kutoka Uingereza na Ujerumani, Ndg. Jeremy Lefroy baada ya kutembelea Ukumbi wa Bunge Bungeni Jijini Dodoma.

Mwenyekiti wa Chama cha Wabunge cha Kupambana na Malaria na Magonjwa yaliyokuwa hayapewi Kipaumbele Tanzania (TAPAMA), Mhe. Riziki Lulida akizungumza jambo wakati wa kikao cha hicho na Chama cha Wabunge kutoka Uingereza na Ujerumani katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.
Mbunge kutoka Uingereza, Mhe. Dkt. Paul William akizungumza jambo wakati wa mazungumzo ya Chama cha Wabunge cha Kupambana na Malaria na Magonjwa yaliyokuwa hayapewi Kipaumbele Tanzania na Chama cha Wabunge kutoka Uingereza na Ujerumani katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.
Katibu wa Chama cha Wabunge cha Kupambana na Malaria na Magonjwa yaliyokuwa hayapewi Kipaumbele Tanzania (TAPAMA), Mhe. Dkt. Raphael Chegeni (kulia) akipokea zawadi ya kikombe kwa niaba ya Spika Ndugai kutoka kwa kiongozi wa msafara wa Chama cha Wabunge kutoka Uingereza na Ujerumani, Ndg. Jeremy Lefroy katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.
Katibu wa Chama cha Wabunge cha Kupambana na Malaria na Magonjwa yaliyokuwa hayapewi Kipaumbele Tanzania (TAPAMA), Mhe. Dkt. Raphael Chegeni (mbele wanne kulia) katika picha ya pamoja na Wabunge kutoka Chama cha Wabunge cha Kupambana na Malaria na Magonjwa yaliyokuwa hayapewi Kipaumbele Tanzania (TAPAMA) na Chama cha Wabunge kutoka Uingereza na Ujerumani katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...