Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania dkt. John Pombe Magufulivakipeana mikono na mgeni wake Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni baada ya kufungua rasmi jengo la Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Ijumaa Septemba 6, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania dkt. John Pombe Magufuli na mgeni wake Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni wakisaidiwa na viongozi wengine wakikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa jengo la Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Ijumaa Septemba 6, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania dkt. John Pombe Magufuli na mgeni wake Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni wakitembezwea na Katibu Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere Julius Nyerere ndani ya jengo walilolifungua kwa pamoja jijini Dar es salaam leo Ijumaa Septemba 6, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania dkt. John Pombe Magufuli na mgeni wake Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni na viongozi wengine wakiwa katika picha ya pamoja na wanafamilia wa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage nyerere wakati wa sherehe za ufunguzi rasmi wa jengo la Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Ijumaa Septemba 6, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania dkt. John Pombe Magufuli akimwonesha Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni baadhi ya picha na maelezo ya kumbukumbu ya Baba wa Taifa walipowasili katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini kwa
ajili ya Kongamano la Wafanyabishara wa Tanzania na Uganda jijini Dar es salaam leo Ijumaa Septemba 6, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania dkt. John Pombe Magufuli na mgeni wake Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni wakisikiliza maeleo kutoka kwa Mkurugenzi mtendaji wa Benki ya CRDB Bw.Abdulmajid Nsekela walipotembelea vibanda vya maonesho wakati wa Kongamano la Wafanyabishara wa Tanzania na Uganda vkatika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Ijumaa Septemba 6, 2019 .PICHA NA IKULU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania dkt. John Pombe Magufuli akiomba wahudhuriaji kusimama kwa dakika tatu za heshima ya kumkumbukaaliyekuwa Rais wa Zimbabwe Marehemu Robert Mugabe aliyefariki jana huko Singapore akiwa katika matibabu. Hii ilikuwa ni kabla ya kuanzakuhutubia Kongamano la Wafanyabishara wa Tanzania na Uganda lililohudhuriwa pia na Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Ijumaa Septemba 6, 2019
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...