Rais Mstaaf wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi akitembelea mabanda ya maonesho ya Tamasha la Pili la Utalii Zanzibar, linalofanyika katika viwanja vya Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar, akimsikiliza mwakilishi wa Kampuni ya MCL
RAIS Mstaaf wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi akisalimiana na Wafanyakazi wa Kampuni ya Ulinzi ya GS,wakati akitembelea mabanda ya maonesho ya Tamasha la Pili la Utalii Zanzibar katika viwanja vya Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar leo
RAIS Mstaaf wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi akisalimiana na Vijana wa Kampuni ya Ulinzi ya Masai wakati alipotembelea maonesho ya Tamasha la Pili la Kimataifa la Utalii Zanzibar, lililofanyika katika viwanja vya Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar
RAIS Mstaaf wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi akimsikiliza Mkurugenzi wa Masoko wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar Dkt. Miraji, akitowa maelezo ya sekta ya utalii wakati alipotembelea banda la maonesho la Kamisheni ya Utalii Zanzibar viwanja vya hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar leo.28-9-2019.(Picha na Othman Maulid)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...