| Mhe. Balozi Iddi akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Bw. Christopher Bazivamo alipowasili kwenye Tamasha la JAMAFEST |
| Sehemu ya wageni waalikwa wakiwemo viongozi wa dini wakiwa kwenye sherehe za ufungaji wa Tamasha la JAMAFEST |
| Sehemu nyingine ya wageni waalikwa |
| Mhe. Balozi Iddi akipata maelezo kwenye Banda la Wizara ya Maliasili na Utalii |
| Mhe. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar akimsikiliza mmoja wa washiriki wa maonesho alipotembelea Banda la Wizara ya Maliasili na Utalii |
| Mhe. Balozi Iddi akiwa kwenye banda la Zanzibar |
| Mhe. Balozi Iddi akiwa kwenye Banda la Rwanda |
| Mhe. Balozi Iddi akiwa kwenye banda la Burundi |
| Mhe. Balozi Iddi akiwa kwenye banda la Uganda |
| Msanii Mrisho Mpoto akitumbuiza wakati wa sherehe za kuhitimisha Tamasha la JAMAFEST |
| Wasanii kwenye JAMAFEST |
| Watoto kutoka Dodoma wakitumbuiza |


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...