Kazi ya unjezni wa Machinjio ya kisasa ya Vingunguti ukiendelea kwa kasi jijini Dar,ujenzi huo unafanyika usiku na mchana,huku Mkuu wa Mkoa Mh Paul Makonda akikesha na kushiriki kwa ukamilifu kumwaga zege kuhakikisha mradi huo muhimu kwa Wakazi wa jiji la Dar na Watanzania kwa ujumla unakimilika mapema iwezekanavyo.
Mkuu wa Mkoa Mh.Makonda akishiriki kuweka zege kwenye moja ya nguzo
Rc Makonda akiwana baadhi ya wajenzi wa mradi huo kwa pamoja wakishuhudia unwagaji zege kwenye maeneeo mbalimbali ukiendelea
Ujenzi ukiendelea

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...