Bwala linalotumika katika kilimo cha umwagiliaji katika Skimu
ya Umwagiliaji Uliyanyama lenye mita za ujazo milioni mbili.
Katika picha ni Banio linalopokea maji kutoka katika Bwawa la
Umwagiliaji Ulianyama Wilayani Sikonge na kupeleka maji katika mfereji na
mashamba ya kilimo cha Umwagiliaji katika Skimu hiyo.
Katika picha ni moja ya miundombinu iliyojengwa kiufanisi
katika skimu ya kilimo cha umwagiliaji ya Uliyanjama iliyopo Wilayani Sikonge
Mkoani Tabora ili kuweza kumudu kasi ya maji yanayoingia katika mashamba na
kuzuwia upotevu wa maji na mmomonyoko wa ardhi.
Katika Picha ni magunia ya mpunga katika moja ya ghala la
kuhifadhia nafaka lililojengwa na Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge kayika skimu
ya ka Kilimo cha Umwagiliaji Uliyanyama Mkoani Tabora.
Bw. Simon Kalosa katibu wa chama cha umwagliaji cha
Uliyanyama Wilayani Sikonge Mkoani Tabora, akiongea kuhusu mafanikio
yaliyopatika katika skimu hiyo baada ya Uboreshaji wa Miundombinu ya
umwagiliaji.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...