Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizindua mfumo wa uendeshaji Bunge kidigitali, katika ukumbi wa Msekwa, Bungeni jijini Dodoma, Septemba 12, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa na Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai (kulia) wakiangalia mfumo wa uendeshaji Bunge kidigitali, baada ya kuzinduliwa, katika ukumbi wa Msekwa, Bungeni jijini Dodoma, Septemba 12,  2019. 
  Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Wabunge, kwenye uzinduzi wa mfumo wa uendeshaji Bunge kidigitali, Bungeni jijini Dodoma, Septemba 12, 2019. 
 Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai, akizungumza na Wabunge, baada ya uzinduzi wa mfumo wa uendeshaji Bunge kidigitali, Bungeni jijini Dodoma, Septemba 12, 2019.
Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akizungumza na Waheshimiwa Wabunge (hawapo kwenye picha) kabla ya uzinduzi wa “Bunge Mobile Application” tukio lililofanyika leo katika ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.
Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai akizungumza na Waheshimiwa (hawapo kwenye picha) kabla ya uzinduzi wa “Bunge Mobile Application” tukio lililofanyika leo katika ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma
Waheshimiwa Wabunge wakiwa katika uzinduzi wa “Bunge Mobile Application” tukio lililofanyika leo katika ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...