Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Albert Chalamila (kulia )akiwa Naibu Waziri Utumishi Dkt Mary Mwanjelwa (kushoto) wakiwa na Mbunge wa Jimbo la Mbeya Joseph Mbilinyi (Sugu) na Mkewe Hapynes Masonga katika sherehe ya kufunga ndoa katika Hotel Desideria inayomilikiwa na Mbunge huyo iliyopo katika mtaa wa Uzunguni jijini Mbeya ndoa hiyo ilifungwa katika kanisa la Roman Katoliki Parokia ya Roho Mtakatifu Ruanda Jimbo Kuu la Mbeya Agosti 31 Mwaka huu.
Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mh.Joseph Mbilinyi (Sugu) akiwa na Mkewe Hapynes Masonga
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...