Wafanyakazi wa Benki ya CRDB Tawi la Holland, jijini Dar es salaam wakingozwa na Meneja wao, John Almas (walioketi katikati) wakiwa katika picha ya pamoja ikiwa ni siku ya kwanza ya wiki ya huduma kwa wateja, inayoendelea sasa Duniani kote.
Meneja wa Benki ya CRDB Tawi la Holland, John Almas akisaidia kuwahudumia chakula baadhi ya wafanyakazi wa Benki hiyo, ikiwa ni sehemu ya wiki ya huduma kwa wateja, inayoendelea sasa Duniani kote.
Meneja wa Benki ya CRDB Tawi la Holland, John Almas akiwapatia keki baadhi ya wateja wa Benki hiyo waliofika kupata kuduma mapema leo asubuhi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...