Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli watatu kutoka kulia
aliyeshika utepe, viongozi wa mkoa wa Rukwa, Mawaziri, viongozi wa Dini
pamoja na Chama, akikata utepe kuashiria ufunguzi wa barabara ya
Tunduma-Sumbawanga km 223.21 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami
katika sherehe zilizofanyika Laela mkoani Rukwa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akipiga makofi pamoja na viongozi mbalimbali mara baada ya
kufungua barabara ya Tunduma-Sumbawanga km 223.21 iliyokamilika kujengwa
kwa kiwango cha lami katika sherehe zilizofanyika Laela mkoani Rukwa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akivuta utepe kuashiria uwekaji wa jiwe la Ufunguzi wa barabara
ya Tunduma-Sumbawanga km 223.21 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha
lami katika sherehe zilizofanyika Laela mkoani Rukwa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akimpongeza Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini TANROADS
Eng. Patrick Mfugale mara baada ya kufungua barabara ya
Tunduma-Sumbawanga km 223.21 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami
katika sherehe zilizofanyika Laela mkoani Rukwa.
Sehemu ya Barabara ya Tunduma –Sumbawanga km 223.21 iliyofunguliwa leo
na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli katika eneo la Laela mkoani Rukwa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akiwasalimia wananchi wa Laela mara baada ya kuwasili kwa ajili
ya kufungua barabara ya Tunduma-Sumbawanga.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akizungumza na wananchi wa Chiwanda Tunduma mkoani Songwe mara
baada ya kusimama wakati akielekea Sumbawanga mkoani Rukwa.
Wananchi wa Ikana wakisangilia mara baada ya kumuona Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipita kwenye
eneo hilo wakati akielekea Sumbawanga mkoani Rukwa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na maaskari wa Jeshi la Polisi wakati akielekea kukagua kituo cha polisi cha Laela mkoani Rukwa mara baada ya kufungua barabara ya Tunduma-Sumbawanga. PICHA NA IKULU
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...