Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akivua viatu kabla ya kuingia na hatimaye kuufungua msikiti wa Istiqaama Bomani wa Mjini Sumbawanga leo Jumatatu Oktoba 7, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dit. John Pombe Magufuli akipata maelezo toka kwa Shehe wa Mkoa wa Rukwa Shehe Rashidi Akilimali kabla ya kuufungua msikiti wa Istiqaama Bomani wa Mjini Sumbawanga leo Jumatatu Oktoba 7, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Shehe wa Mkoa wa Rukwa Shehe Rashidi Akilimali na viongozi wengine akikata utepe kuufungua rasmi msikiti wa Istiqaama Bomani wa Mjini Sumbawanga leo Jumatatu Oktoba 7, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Shehe wa Mkoa wa Rukwa Shehe Rashidi Akilimali na viongozi wengine wakiitikia dua inayoongozwa na msaidizi wa Rais Alhaj Ali Masella baada ya kuufungua rasmi msikiti wa Istiqaama Bomani wa Mjini Sumbawanga Jumatatu Oktoba 7, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi mchango wa shillingi milioni tano kwa ajili ya kukamilishia vifaa vya kuswalia kama vile mazulia Shehe wa Mkoa wa Rukwa Rashidi Akilimali akishuhuduiwa na viongozi wengine baada ya kuufungua rasmi msikiti wa Istiqaama Bomani wa Mjini Sumbawanga Jumatatu Oktoba 7, 2019








Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...