Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akizungumza a Wabunge wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki wakati alipowatembelea leo Bungeni Jijini Arusha.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai(kulia) akipokelewa na Spika wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki, Mhe. Martin Ngogi wakati alipowasili nje ya viwanja vya Bungeni leo Jijini Arusha.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Spika wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki, Mhe. Martin Ngogi Ofisini kwake leo Jijini Arusha.
Wabunge wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki wakimsikiliza Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (hayupo kwenye picha) wakati alipowatembelea leo Bungeni Jijini Arusha.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (wanne kulia) katika picha ya pamoja na Wabunge wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki nje ya Bunge hilo leo Jijini Arusha. Katikati ni Spika wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki, Mhe. Martin Ngogi.(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...