TMDA
imechangia taulo za kike pakiti 2,448 kwa wanafunzi wa kidato cha nne
walio kambi ya kitaaluma ili kuunga mkono jitihada za Mkoa wa Simiyu
katika kukuza elimu ili kumuunga mkono Mkuu wa mkoa huo Bw. Anthony
Mtaka.
Pichani ni Meneja Mawasiliano na Uhusiano wa Umma
Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) akimkabidhi Taulo za kike Naibu
Waziri wa Maji Jumaa Aweso aliyekuwa Mgeni rasmi wa hafla hiyo katika
hafla hiyo Katikati ni Mkuu wa mkoa huo Anthony Mtaka.


Bi.
Gaudensia Simwanza Meneja Mawasiliano na Uhusiano wa Ummaakiwa pamoja
na wanafunzi wa kike walioweka kambi ya kitaaluma mkoani Simiyu
wakionesha taulo hizo.




Wanafunzi wakishangilia mara baada ya kupokea taulo hizo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...