Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Mkandarasi wa mradi wa maji Kintinku/Lusilile, Injinia Jumanne Werema, uliyopo katika Wilaya ya Manyoni, mkoani Singida, Oktoba 4.2019. Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dkt. Rehema Nchimbi. Waziri Mkuu yupo mkoani Singida kwa ziara ya kikazi ya siku nne. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Watumishi wa Wilaya ya Manyoni, mkoani Singida, kwenye ukumbi wa Halmashairi wilayani hapo, Oktoba 4.2019.
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiangalia korosho zilizotoka, kwenye mradi wa shamba la korosho la Masigati wilayani Manyoni, wakati alipokagua mradi huo, Oktoba 4.2019. Kutoka kushoto ni Mke wa Waziri Mkuu, Marry Majaliwa na kulia ni Meneja wa Kanda ya Kati, Bodi ya Korosho, Ray Mtangi.
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiangalia mti wa korosho, kwenye mradi wa shamba la korosho la Masigati wilayani Manyoni, wakati alipokagua mradi huo, Oktoba 4.2019. 
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiweka jiwe la msingi wa jengo la utawala la Halmashauri ya Wilaya ya Itigi, mkoani Singida, Oktoba 4. 2019.
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akikagua jengo la utawala la Halmashauri ya Wilaya ya Itigi, baada ya kuweka jiwe la msingi wa jengo hilo, Oktoba 4.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...