Heri ya #SikuYaMtotoDuniani

Katika kuadhimisha #SikuYaMtotoDuniani, jengo la Benki ya NMB Makao Makuu liliwasha taa za bluu kuunga mkono Shirika la uniceftanzania katika maadhimisho ya kumbukizi ya miaka 30 ya Mkataba juu ya Haki za Mtoto

Ni wakati wa kuwaunga mkono na kuwawezesha watoto na vijana ambao wanasimamia na kudai haki zao kote Ulimwenguni ni sasa.

#KwaKilaMtoto, Kil haki inatimizwa!


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...