Kufuatia mvua inayoendelea kunyesha maeneo mengi yamekumbwa na changamoto ya kupitika sambamba na biashara kutofanyika kabisa.
Mmoja wa Wanafunzi akiende shuleni
Baadhi
ya Wakazi wa Mbagala Rangi tatu jijini Dar es Salaam wakiwa katika
kituo cha mabasi cha Mbagala wakisubiri usafiri,huku eneo hilo likiwa
limejaa maji kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha leo jijini Dar es
Salaam na mikoa ya Pwani (Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...