Balozi wa VISA kadi ambae  ni msanii wa musiki wa kizazi kiPya anaeunda kundi la NAVY KENZO   Emmanuel Mkono almaarufu kama Nahreel (kulia), akionesha kadi yake ya Visa ambayo mteja anaweza kuitumia kufanya manunuzi badala yakutembea na pesa mkononi anaweza kutumia kadi hiyo (katikati), ni msanii wa kundi hilo pamoja na mteja anaetumia kadi ya Visa kufanya manunuzi
Balozi wa VISA kadi ambae  ni msanii wa muziki wa kizazi kipya anaeunda kundi la NAVY KENZO   Emmanuel Mkono almaarufu kama Nahreel (kushoto), akifafanua jambo juu ya matumizi ya Visa kadi kwa Mteja anaetumia kadi hiyo kufanya manunuzi, Hussein Bashiru (katikati) mwengine pichani ni Balozi wa Visa Balozi ambae ni mmoja ya wasanii wa kundi la NAVY KENZO  Aika Marealle

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...