Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha
Kikomonisti cha China (CPC) na Makamu Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya
watu wa China, Mhe. JI Bingxuan, akionesha picha ya miamba alipotembea
ukumbi wa Sanaa za miamba Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni jijini Dar
es Salaam. Nyuma yake ni Balozi wa Tanzania nchini, Mhe. Wang Ke.

Antonia Mkama, Afisa Elimu akitoa
maelezo kuhusu michoro ya miamba kwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha
Kikomonisti cha China (CPC) na Makamu Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya
watu wa China, Mhe.JI Bingxuan, na ujumbe wake walipotembelea ukumbi wa
Miamba, Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni, jijini Dar es Salaam

Bibi Rehema Mfinanga, Mhifadhi
(Sanaa) akitoa maelezo kuhusu Sanaa ya uchoraji na uchongaji kwa
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomonisti cha China (CPC) na Makamu
Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya watu wa China, Mhe. JI Bingxuan, akiwa
na ujumbe walipotembelea Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni jijini Dar
es Salaam

Bibi Rehema Mfinanga, Mhifadhi
(Sanaa) akitoa maelezo kuhusu Sanaa ya uchoraji na uchongaji kwa
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomonisti cha China (CPC) na Makamu
Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya watu wa China, Mhe. JI Bingxuan, akiwa
na ujumbe walipotembelea Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni jijini Dar
es Salaam

BIbi Anamary Bagenyi, Afisa Elimu
Mwandamizi akitoa maelezo kuhusu uhuru wa Tanganyika kwa Mjumbe wa
Kamati Kuu ya Chama cha Kikomonisti cha China (CPC) na Makamu Mwenyekiti
wa Bunge la Jamhuri ya watu wa China, Mhe. JI Bingxuan, alipotembelea
Ukumbi wa Historia, Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni jijini Dar es
Salaam

Dkt. Agness Gidna, Mhifadhi
Mwandamizi kutoka Idara ya Paranthorojia akitoa maelezo kuhusu nyayo za
mwanadamu wa kwanza zilizogundulika huko Laitoli katika Bonde la Olduvai
Gorge kwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomonisti cha China (CPC)
na Makamu Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya watu wa China, Mhe.JI
Bingxuan alipotembelea Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni, jijini Dar es
Salaam.

Bibi Folra Vicent, Mhifadhi Mila
akitoa maelezo kuhusu mchango wa Tanzania katika ukombizi wa Afrika kwa
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomonisti cha China (CPC) na Makamu
Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya watu wa China, Mhe.JI Bingxuan, akiwa
na ujumbe wake walipotembelea Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni jijini,
Dar es Salaam

Dkt. Amandus Kweka, Mhifadhi Mkuu
(Akiolojia) akitoa maelezo kuhusu fuvu la mwanadamu wa kale
(Zinjanthropus) kwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomonisti cha
China (CPC) na Makamu Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya
watu wa China, Mhe. JI Bingxuan, alipotembelea Makumbusho ya Taifa

Kaimu Mkurugenzi wa Makumbusho ya
Taifa, Bibi Adellaide Sallemu akimkaribisha Mjumbe wa Kamati Kuu ya
Chama cha Kikomonisti cha China (CPC) na Makamu Mwenyekiti wa Bunge la
Jamhuri ya watu wa China, Mhe. JI Bingxuan (katikati), kushoto kwake ni
mfasili wa Lugha, Bibi Mme Shi Dongmei alipotembelea Makumbusho ya
Taifa.

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha
Kikomonisti cha China (CPC) na Makamu Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya
watu wa China, JI Bingxuan, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya
watumishi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...