Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa TYanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhe. Adama Malima
alipowa Uwanja wa Ndege wa Seronera Wilaya ya Serengeti leo Disemba 22, 2019
kwa ajili ya kuhudhuria Maadhimisho ya Miaka 60 ya kuanzishwa kwa Shirika la
Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) na Mamlaka
ya Hifadhi ya NGORONGORO (NCAA) yanayotarajiwa kufanyika kesho katika Hifadhi
ya Ikoma Serengeti Mkoani Mara.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa TYanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamis Kigwangala Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhe. Adama
Malima alipowa Uwanja wa Ndege wa Seronera Wilaya ya Serengeti leo Disemba 22,
2019 kwa ajili ya kuhudhuria Maadhimisho ya Miaka 60 ya kuanzishwa kwa Shirika
la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) na
Mamlaka ya Hifadhi ya NGORONGORO (NCAA) yanayotarajiwa kufanyika kesho
katika Hifadhi ya Ikoma Serengeti Mkoani Mara.(Picha na Ofisi ya Makamu wa
Rais)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...