Waziri wa Fedha
na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) (wa pili kushoto) akipeana
mkono na Waziri wa Fedha wa Tanzania Zanzibar, Balozi Mohamed Ramia
(katikati) , baada ya kikao cha pamoja cha kujadili masuala mbalimbali
ya kifedha yanayohusu Muungano, katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na
Mipango, Jijini Dar es Salaam, wa pili kulia ni Naibu Waziri wa Fedha na
Mipango , Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) pamoja na wajumbe kutoka Tanzania
Bara na Visiwani.

Waziri wa Fedha
na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) (wa pili kushoto), Waziri
wa Fedha na Mipango Tanzania Zanzibar, Balozi Mohamed Ramia
(katikati) , Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji (Mb)
(wa pili kulia), wakiwa katika picha ya pamoja na wajumbe kutoka
Tanzania Bara na Visiwani, baada ya kikao cha pamoja cha kujadili
masuala mbalimbali ya kifedha yanayohusu Muungano, katika ukumbi wa
Wizara ya Fedha na Mipango, Jijini Dar es Salaam.
(Picha na Scola Malinga, WFM, Dar es Salaam)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...