Mkuu wa Takwimu za Bei kutika
Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Abdul-Rahman Msham(katikati)akitoa
takwimu za Bei ambapo imeonekana kupanda Asilimia 3.1 kwa mwezi wa
Novemba 2019 ukilinganisha na 2.4 kwa mwezi wa Octoba 2019 hafla
iliofanyika ukumbi wa Mtakwimu mkuu mazizini Zanzibar.

Mhadhiri na Mkuu wa Idara ya
Uchumi Chuo Kikuu cha Taifa SUZA Suleiman Simai Msaraka akifafanua
baadhi ya maswala yalioulizwa katika hafla ya utoaji wa takwimu za Bei
ambapo imeonekana kupanda Asilimia 3.1 kwa mwezi wa Novemba 2019
ukilinganisha na 2.4 kwa mwezi wa Octoba 2019 hafla iliofanyika ukumbi
wa Mtakwimu mkuu mazizini Zanzibar.

Meneja Uchumi Benki kuu ya
Tanzania Tawi la Zanzibar Moto N’winganele Lugobi akijibu maswali
yalioulizwa na Waandishi katika hafla ya utoaji wa takwimu za Bei
ambapo imeonekana kupanda Asilimia 3.1 kwa mwezi wa Novemba 2019
ukilinganisha na 2.4 kwa mwezi wa Octoba 2019 hafla iliofanyika ukumbi
wa Mtakwimu mkuu mazizini Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...