MWENYEKITI wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Comred Kheri Denice James akipokelewa vijana wanaounda Baraza kuu la Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi. Kikao hicho ni cha kawaida kwa mujibu wa kalenda za vikao vya Umoja wa Vijana wa CCM Taifa.
MWENYEKITI wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Comred Kheri Denice James akiongoza kuimba wimbo wa taifa kwa vijana wanaounda Baraza kuu la Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi.
MWENYEKITI wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Comred Kheri Denice James akiongoza kuimba wimbo wa taifa kwa vijana wanaounda Baraza kuu la Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...