Mkurugenzi wa Idara ya Habari – MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi akisalimiana na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza alipowasili katika viwanja vya Hazina kwa ajili ya kufungua awamu ya pili ya mafunzo ya Mawasiliano ya Kimkakati kwa Maafisa Habari kutoka wizara, taasisi, mashirika ya umma na halmashauri nchini leo tarehe 02 Desemba 2019 Jijini Dodoma.
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Juliana Shonza akisindikizwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari – MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi mara baada ya kufungua awamu ya pili ya mafunzo ya Mawasiliano ya Kimkakati kwa Maafisa Habari kutoka wizara, taasisi,mashirika ya umma na halmashauri nchini leo tarehe 02 Desemba 2019 Jijini Dodoma. (PICHA NA IDARA YA HABARI –MAELEZO)
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Juliana Shonza akionyesha nakala ya Jarida Maalum la Nchi Yetu alilokabidhiwa na Mkurugenzi wa Idara ya Habari – MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi mara baada ya ufunguzi wa awamu ya pili ya mafunzo ya Mawasiliano ya Kimkakati kwa Maafisa Habari kutoka wizara, taasisi,mashirika ya umma na halmashauri nchini leo tarehe 02 Desemba 2019 Jijini Dodoma. Jarida hilo ni toleo maalum linaloelezea mafanikio ya ndani ya Miaka Minne tangu Serikali ya Awamu ya Tano iingie madarakani.Kulia ni Katibu wa Chama cha Maafisa Habari na Mawasiliano wa Serikali (TAGCO), Bw. Abdul Njaidi.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari – MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi akimkabidhi nakala ya Jarida Maalum la Nchi Yetu Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza mara baada ya ufunguzi rasmi wa awamu ya pili ya mafunzo ya Mawasiliano ya Kimkakati kwa Maafisa Habari kutoka wizara, taasisi, mashirika ya umma na halmashauri nchini leo tarehe 02 Desemba 2019 Jijini Dodoma. Jarida hilo ni toleo maalum linaloelezea mafanikio ya ndani ya Miaka Minne tangu Serikali ya Awamu ya Tano iingie madarakani.Kulia ni Katibu wa Chama cha Maafisa Habari na Mawasiliano wa Serikali (TAGCO), Bw. Abdul Njaidi.
Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Juliana Shonza akizungumza alipokuwa mgeni rasmi katika hafla ya ufunguzi wa awamu ya pili ya mafunzo ya Mawasiliano ya Kimkakati kwa Maafisa Habari kutoka wizara, taasisi, mashirika ya umma na halmashauri nchini leo tarehe 02 Desemba 2019 Jijini Dodoma.
Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Juliana Shonza akizungumza alipokuwa mgeni rasmi katika hafla ya ufunguzi wa awamu ya pili ya mafunzo ya Mawasiliano ya Kimkakati kwa Maafisa Habari kutoka wizara, taasisi, mashirika ya umma na halmashauri nchini leo tarehe 02 Desemba 2019 Jijini Dodoma.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari – MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi akisisitiza jambo wakati wa hafla ya ufunguzi awamau ya pili mafunzo ya Mawasiliano ya Kimkakati kwa Maafisa Habari kutoka wizara, taasisi, mashirika ya umma na halmashauri nchini leo tarehe 02 Desemba 2019 Jijini Dodoma..
Katibu wa Chama cha Maafisa Habari na Mawasiliano wa Serikali (TAGCO), Bw. Abdul Njaidi akitoa salaam za TAGCO mbele ya Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Juliana Shonza (hayupo pichani) wakati wa hafla ya ufunguzi awamau ya pili mafunzo ya Mawasiliano ya Kimkakati kwa Maafisa Habari kutoka wizara, taasisi, mashirika ya umma na halmashauri nchini leo tarehe 02 Desemba 2019 Jijini Dodoma.
Baadhi ya Maafisa Habari na Mawasiliano wa Serikali wakifuatilia hotuba ya Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Juliana Shonza wakati wa hafla ya ufunguzi rasmi wa awamu ya pili ya mafunzo ya Mawasiliano ya Kimkakati kwa Maafisa Habari kutoka wizara, taasisi, mashirika ya umma na halmashauri nchini leo tarehe 02 Desemba 2019 Jijini Dodoma.
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Juliana Shonza akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa mafunzo ya Maafisa Habari na Mawasiliano Serikalini mara baada ya ufunguzi wa awamu ya pili ya mafunzo hayo leo tarehe 02 Desemba 2019 Jijini Dodoma. Kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari – MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi na Katibu wa Chama cha Maafisa Habari na Mawasiliano wa Serikali (TAGCO), Bw. Abdul Njaidi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...