Mkaguzi Msaidizi Uhamiaji Gerad Moses Mwasambili akifafanua baadhi
ya maswali yalioulizwa na Waandishi
katika Mkutano wa utoaji wa Takwimu za Uingiaji wa Wageni nchini ambapo
imeonekana kuongezeka kutotaka wageni 39,713 kwa mwezi wa Novemba 2018
hadi 47,824 Novemba 2019 hafla iliofanyika Ofisi ya Mtakwimu Mkuu
Mazizini Zanzibar.
Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria katika Mkutano wa utoaji wa
Takwimu za Uingiaji wa Wageni nchini ambapo imeonekana kuongezeka
kutotaka wageni 39,713 kwa mwezi wa Novemba 2018 hadi 47,824 Novemba
2019 hafla iliofanyika Ofisi ya Mtakwimu Mkuu Mazizini Zanzibar.
-Afisa masoko Mwandamizi Kamisheni ya Utalii Maabad Jaffar Muhiddini
akijibu maswali ya Waandishi katika Mkutano wa utoaji wa Takwimu za
Uingiaji wa Wageni nchini ambapo imeonekana kuongezeka kutotaka wageni
39,713 kwa mwezi wa Novemba 2018 hadi 47,824 Novemba 2019 hafla
iliofanyika Ofisi ya Mtakwimu Mkuu Mazizini Zanzibar.PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...