Deogratias Maneno Mkurugenzi wa
Huduma za Biashara Wakala wa Vipimo (WMA) akiweka vizuri moja ya jiwe
linalotumika kupima uzito wa madini baada ya kulitoa kwenye sanduku
maalum leo katika maonesho ya bidhaa yanayofanyika kwenye banda la
Karume viwanja vya Sabasaba barabara ya Kirwa jijini Dar es salaam
ambapo taasisi hiyo inashiriki kushoto anayetazama ni Irene John Meneja Mawasiliano na Uhusiano kwa Umma Wakala wa Vipimo (WMA).

Kutoka kushoto Deogratias Maneno Mkurugenzi wa Huduma za Biashara Wakala wa Vipimo (WMA) Irene
John Meneja Mawasiliano na Uhusiano kwa Umma Wakala wa Vipimo (WMA) na
Almachius Pastory Kaimu Meneja Sehemu ya Ukaguzi na Ufuatiliaji Wakala
wa Vipimo (WMA) wakitoa maelezo kwa mwandishi wa habari wa TBC Stanley
Ganzel pamoja na Rose Eric mmoja wa wananchi waliotembelea katika banda
hilo leo kwenye maonesho ya bidhaa yanayofanyika kwenye viwanja vya
Sabasaba barabara ya Kirwa jijini Dar es salaam leo.

Almachius Pastory Kaimu Meneja Sehemu ya Ukaguzi na Ufuatiliaji Wakala wa Vipimo (WMA) urefu na upana wa nondo ili kumlinda mtumiaji huku mwandishi wa habari wa TBC Stanley Ganzel pamoja na mmoja wa wananchi Rose Eric waliotembelea katika banda hilo wakishuhudia kushoto ni Irene John Meneja Mawasiliano na Uhusiano kwa Umma Wakala wa Vipimo (WMA).

Almachius Pastory Kaimu Meneja Sehemu ya Ukaguzi na Ufuatiliaji Wakala wa Vipimo (WMA) urefu na upana wa bati (Guage) ili kumlinda mtumiajihuku mwandishi wa habari wa TBC Stanley Ganzel pamoja na Rose Eric mmoja wa wananchi waliotembelea katika banda hilo wakishuhudia kutoka kushoto ni Deogratias Maneno Mkurugenzi wa Huduma za Biashara Wakala wa Vipimo (WMA) na Irene John Meneja Mawasiliano na Uhusiano kwa Umma Wakala wa Vipimo (WMA).


Almachius Pastory Kaimu Meneja Sehemu ya Ukaguzi na Ufuatiliaji Wakala wa Vipimo (WMA) akitoa maelezo namna ujazo wa vimiminika unavyopimwa.

Deogratias Maneno Mkurugenzi wa
Huduma za Biashara Wakala wa Vipimo (WMA) akisisitiza jambo wakati
alipokuwa akifafanua zaidi kwa wananchi waliotembelea banda hilo namna
ujazo wa vimiminika unavyopimwa.

Muonekano wa banda la Wakala wa Vipimo WMA.



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...