Mkurugenzi wa Habari maelezo Zanzibar Juma Mohamed akibadilishana mawazo na Mmoja kati ya Wanadiaspora Maggid Mjengwa katika Ziara ya  Wanadiaspora katika Sehemu mbalimbali ikiwemo shamba la Viungo(Spice)na kuangalia Wanyama Jozani Mkoa wa Kusini Unguja.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Issa Haji Ussi (Gavu)akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na ziara ya Wanadiaspora katika Sehemu mbalimbali ikiwemo shamba la Viungo(Spice)na kuangalia Wanyama Jozani Mkoa wa Kusini Unguja.

Mtembezaji wageni katika Shamba la Kitundu Spice Rashid Ahmada Said akiwagawia  wanadiaspora Mbegu za  Mti wa Mdalasini wakati walipofika katika shamba hilo la Viungo (SPICE)wakiwa katika Ziara ya kutembelea maeneo mbalimbali Zanzibar.
Wanadiaspora wakiwa katika ziara ya kutembelea sehemu mbalimbali za Vivutio vya Utalii Ikiwemo Viungo(Spice)Kitundu na kuangalia Wanyama Jozani Mkoa wa Kusini Unguja.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...