RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali
Mohamed Shein, akisalimiana na Mwakilishi wa Mtawala wa Ras Al-Khaimah,
Bw.Mohamed Ali Musabeh Al Nuaimi, alipofika Ikulu ndogo Migombani
Jijini Zanzibar kwa mazungumzo, (kulia) Balozi wa Umoja wa Nchi za Falme
za Kiarabu (UAE) Nchini Tanzania.Mhe.Khalifa Abdulrahman Almarzooqi na
Mkurugenzi Mtendaji wa RAK Gas Nishant Dighe..(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali
Mohamed Shein, akisalimiana na Balozi wa Umoja wa Nchi za Falme za
Kiarabu (UAE) Nchini Tanzania.Mhe. Khalifa Abdulrahman Almarzooqi na (
kulia) Mkurugenzi Mtendaji wa RAK Gas Nishant Dighe.walipofika Ikulu
ndogo Migombani Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali
Mohamed Shein, akizungumza na Mwakilishi wa Mtawala wa Ras Al Khaimah.
Bw,Mohamed Ali Musabeh Al Nuaimi, alipofika Ikulu Ndogo Migombani na
ujumbe wake kwa mazungumzo, akiwa zanzibar akihudhuria Maadhimisho ya
sherehe za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar,(kulia) Balozi wa Umoja wa
Nchi za Falme za Kiarabu (UAE) Nchini Tanzania.Mhe.Khalifa Abdulrahaman
Al Marzooqi na Mkurugenzi Mtendaji wa RAK Gas.Bw.Nishant Dighe.(Picha na
Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mwakilishi wa Mtawala wa Ras Khaimahn Bwana Mohamed Ali Musabeh Al Nuaimi, alipofika Ikulu Ndogo Migombani Jijini Zanzibar , kwa mazungumzo, baada ya kuhudhuria sherehe za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar, zilifanyika Uwanja Amaan .(Picha na IKULU)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...