
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijibu maswali Bungeni jijini Dodoma, Januari 30, 2020.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum, Zainab Katimba kwenye viwanja vya
Bunge jijini Dodoma, Januari 30, 2020

Waziri Mkuu, Kassim
Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter
Msigwa (kushoto) kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Januari 30,
2020. Kulia ni Mbunge wa Baraza la Wawakilishi, Jaku Ayoub. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...