Balozi wa Tanzania nchini Afrika ya Kusini Meja Jenerali (mst) Gaudence Milanzi akiwa ubalozi wa Kenya jijini Pretoria leo kutoa pole na kusaini kitabu cha rambirambi kufuatia kifo cha Rais Mstaafu wa Kenya Mzee Daniel Arap Moi, akiwa ndiye balozi wa kwanza kufanya hivyo katika mabalozi wanaowakikilisha nchi zao Afrika ya Kusini.
 
 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...