RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akimuapisha Nd,Ame  Burhan Shadil kuwa Naibu Mhasibu Mkuu wa Serikali katika hafla iliyofanyika leo   ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.[Picha na Ikulu,]11/02/2020.
Baadhi ya Viongozi waliohudhuria katika hafla ya kuapishwa Viongozi katika Wizara mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),(kulia) Mshauri wa Rais masuala ya Uwekezaaji na Uwezeshaji Mhe.Abdurahman Mwinyi Jumbe na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi, [Picha na Ikulu,]11/02/2020. 
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akimuapisha Nd,Khatib Mwadin Khatib kuwa Naibu Katibu Mkuu  Wizara ya Fedha na Mipango katika hafla iliyofanyika leo   ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.[Picha na Ikulu,]11/02/2020.

Baadhi ya Viongozi walioshuhudia uapishwaji wa Viongozi walioteulia na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani leo katika hafla iliyofanyika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,[Picha na Ikulu.]11/02/2020.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...