Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,
Dkt. Damas Ndumbaro (Mb) pamoja na Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Balozi
Kanali Wilbert A. Ibuge wamesaini kitabu cha maombolezo katika Ubalozi wa Kenya nchini kufuatia kifo cha Rais Mstaafu wa Kenya, Daniel Arap Moi
aliyefariki 4 Februari, 2020. 
 Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,
Dkt. Damas Ndumbaro (Mb) akitoa salamu za pole kwa baadhi ya
wafanyakazi wa Ubalozi wa Kenya Jijini Dar es Salaam kufuatia kifo cha Rais Mstaafu wa Kenya, Hayati Daniel Arap Moi.
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,
wizara hiyo, Balozi Kanali Wilbert A. Ibuge akisaini kitabu cha maombolezo
katika Ubalozi wa Kenya Jijini Dar es Salaam kufuatia kifo cha Rais Mstaafu
wa Kenya, Hayati Daniel Arap Moi.
Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,
Dkt. Damas Ndumbaro (Mb) pamoja na Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Balozi
Kanali Wilbert A. Ibuge wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya
wafanyakazi wa Ubalozi wa Kenya Jijini Dar es Salaam mara baada ya
kusaini kitabu cha maombolezo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...