Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya
Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Damas Ndumbaro (Mb)
akisaini kitabu cha maombolezo katika Ubalozi wa Kenya Jijini Dar es
Salaam kufuatia kifo cha Rais Mstaafu wa Kenya, Hayati Daniel Arap Moi

Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje
na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, wizara hiyo, Balozi Kanali Wilbert
A. Ibuge akisaini kitabu cha maombolezo katika Ubalozi wa Kenya Jijini
Dar es Salaam kufuatia kifo cha Rais Mstaafu wa Kenya, Hayati Daniel
Arap Moi

Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya
Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Damas Ndumbaro (Mb) pamoja
na Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Balozi Kanali Wilbert A. Ibuge wakiwa
katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa Ubalozi wa Kenya
Jijini Dar es Salaam mara baada ya kusaini kitabu cha maombolezo.

Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya
Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Damas Ndumbaro (Mb) akitoa
salamu za pole kwa baadhi ya wafanyakazi wa Ubalozi wa Kenya Jijini Dar
es Salaam kufuatia kifo cha Rais Mstaafu wa Kenya, Hayati Daniel Arap
Moi
…………………………………………………………………………………………….
Naibu
Waziri Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt.
Damas Ndumbaro (Mb) pamoja na Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Balozi Kanali
Wilbert A. Ibuge wamesaini kitabu cha maombolezo katika Ubalozi wa Kenya
nchini kufuatia kifo cha Rais Mstaafu wa Kenya, Daniel Arap Moi
aliyefariki 4 Februari, 2020.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...